Biashara yako yote,
kiganjani mwako

Mauzo, stock, matumizi, madeni, wafanyakazi na ripoti — vyote kwenye app moja rahisi. Jua faida yako ya leo, mtaji wako uko wapi, na bidhaa zipi zinakuletea pesa zaidi.

Angalia Mipango na Bei Pakua App kwa Android (APK)

Lipa kwa simuData yako mtandaoniInafanya kazi kwenye simu yoyote

∞Mtaji na wafanyakazi bila kikomo kwenye mipango yote
4Njia za malipo: cash, simu, benki na mkopo
3Ngazi za kamisheni ya rufaa
Saa 2Muhtasari wa mauzo na faida kwenye simu yako
Vipengele vikuu

Zana zote za kuendesha biashara yenye faida

Daftari+ inakusanya mauzo, stock, matumizi, madeni na wafanyakazi wako mahali pamoja — ili ujue hali halisi ya biashara yako kila wakati.

Mauzo na risiti

Rekodi mauzo kwa sekunde. Chagua bidhaa, kiasi, punguzo na njia ya malipo — cash, simu, benki au mkopo. Umekosea? Ghairi mauzo au rekodi bidhaa iliyorudishwa.

Risiti #0231
Mchele 5kg ×345,000
Mafuta ya kupikia 1L8,500
Sukari 2kg ×29,000
JumlaTSh 62,500

Usimamizi wa stock

Ona idadi ya kila bidhaa, weka kiwango cha chini, na pata tahadhari bidhaa inapokaribia kuisha. Kila kuongezeka na kupungua kwa stock kunarekodiwa.

Mchele 5kg
52
Mafuta ya kupikia
27
Sukari 2kg
3 left

Stock & Mtaji

Jua mtaji ulio kwenye stock, thamani ya kuuza na faida inayotarajiwa. Pata orodha ya bidhaa zinazouzwa sana, zilizobaki chache, zisizouzwa na zenye faida kubwa.

Mtaji wa stockTSh 2,450,000
Thamani ya kuuzaTSh 3,180,000
Faida inayotarajiwaTSh 730,000
Zinazouzwa sanaZilizobaki chacheZisizouzwaZenye faida kubwa

Ripoti na uchambuzi

Ripoti za mauzo, faida na matumizi zinakuonyesha biashara inakwenda wapi — bila kukokotoa kwa mkono au kujaza madaftari.

Jtt
Jnn
Jtn
Alh
Ijm
Jms
Jpl

Matumizi na madeni

Andika kila matumizi ya biashara na uone pesa inaenda wapi. Madeni ya wateja yana historia ya malipo — jua nani anadaiwa kiasi gani.

UmemeTSh 30,000
UsafiriTSh 15,000
Bi. Asha · amelipa 25,000Deni 15,000

Wafanyakazi wa mauzo

Ongeza wafanyakazi (saler) bila kikomo. Kila saler anaona mauzo yake mwenyewe, na historia ya shughuli inaonyesha nani alifanya nini.

N
NeemaSaler · mauzo 14 leo
Active
J
JumaSaler · mauzo 9 leo
Active
Mapato ya ziada

Pata kamisheni kwa kila mfanyabiashara unayemleta.

Kila akaunti ina link yake binafsi ya rufaa. Wanaojisajili kupitia link yako wakilipia subscription, wewe unapata kamisheni — hadi ngazi tatu.

daftariplus.store/register.html?ref=DP-XXXXXXXX
  • Kamisheni ya 5% ngazi ya kwanza, 3% ya pili na 1% ya tatu
  • Ona timu yako na mapato yako moja kwa moja kwenye dashibodi
  • Omba kutoa pesa kwenye M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au T-Pesa
  • Kila ombi la kutoa pesa linaonekana kwenye historia yako
Mtaji wa haraka

Kopa mtaji wa biashara yako — kuanzia TSh 50,000.

Ukishasajili biashara yako Daftari+, unaweza kuomba mkopo wa mtaji moja kwa moja kwenye dashibodi yako. Jaza KYC mara moja, admin akikubali unapokea fedha kwenye simu yako.

  • Kiasi cha chini TSh 50,000, riba ya 30% tu kwa mzunguko mzima
  • Muda wa kulipa: mwezi mmoja (siku 30) tu
  • KYC rahisi: barua ya mwenyekiti wa mtaa/kata na kitambulisho/pasipoti
  • Lipa moja kwa moja kwa PalmPesa ndani ya dashibodi yako
Mpya: DaftariPlus Reach

Tangaza namba yako ya WhatsApp kwa wateja wapya, waliokubali kwa hiari.

Reach ni audience network ya ndani ya DaftariPlus — inayounganisha biashara yako na watumiaji wengine wanaochagua kwa hiari kuiona namba yako na kuipakua wenyewe. Si guarantee ya WhatsApp Status views — ni opted-in contact connections za kweli.

  • Chagua package — kuanzia washiriki 100 mpaka 25,000
  • Lipa moja kwa moja kwa PalmPesa ndani ya dashibodi yako
  • Fuatilia maendeleo — washiriki, asilimia ya ukamilifu, gharama kwa kila mshiriki
  • Hakuna WhatsApp bot wala automation — ushiriki ni wa hiari na wa kweli
Na mengine mengi

Kila kitu kimeunganishwa

Manunuzi na wasambazaji — gharama za kununua bidhaa zinarekodiwa

Wateja na madeni — historia ya malipo kwa kila deni

Arifa za muhtasari — mauzo na faida kwenye simu yako kila baada ya saa 2

Malipo kwa simu — lipia subscription kupitia PalmPesa

Salama — data ya kila biashara imetengwa na nywila zinalindwa

Historia ya shughuli — ona nani alifanya nini na lini

Mipango na bei

Chagua mpango wako

Hakuna kikomo cha mtaji wala wafanyakazi kwenye mpango wowote. Lipia kwa simu na uanze mara moja.

Bei zinaweza kubadilika. Bei ya sasa inaonekana kabla ya kulipa.

Maoni ya wateja

Wanachosema wafanyabiashara

Maoni ya kweli kutoka kwa wafanyabiashara wanaotumia Daftari+ kila siku.

Acha Maoni Yako

Asante kwa maoni yako!

Yatatokea kwenye tovuti baada ya kupitiwa.

Maswali ya mara kwa mara

Una swali?

Naanzaje kutumia Daftari+?

Jisajili kwa email au akaunti ya Google/Apple, weka bidhaa zako, kisha lipia mpango unaokufaa. Malipo yakithibitishwa, subscription yako inawashwa mara moja.

Nalipaje subscription?

Kupitia PalmPesa. Unaweka namba yako ya simu, unapokea ombi la malipo kwenye simu yako, kisha unathibitisha kwa PIN yako. Ukurasa unaangalia hali ya malipo yenyewe.

Wafanyakazi wangapi naweza kuongeza?

Hakuna kikomo. Unaweza kuongeza wafanyakazi (saler) wengi unavyohitaji, na kila saler anaona mauzo yake mwenyewe.

Subscription ikiisha itakuwaje?

Utaombwa kulipia upya ili kuendelea kutumia Daftari+. Unaweza kulipia moja kwa moja kutoka kwenye ukurasa wa subscription.

Mpango wa rufaa unafanyaje kazi?

Kila akaunti ina link ya rufaa. Mfanyabiashara aliyejisajili kwa link yako akilipia subscription, unapata 5% (ngazi ya kwanza). Wale walioletwa naye wakilipia unapata 3% (ngazi ya pili), na ngazi ya tatu 1%. Unaweza kuomba kutoa mapato kwenye simu yako.

Jua faida ya biashara yako kila siku.

Acha kubahatisha. Rekodi mauzo, fuatilia stock na uone mtaji wako ukikua — kwa simu yako tu.

D+
Msaada wa Daftari+Tunapatikana sasa

Kabla hatujaanza, tuambie kidogo kukuhusu: